saint

n 1 walii, sufii. 2 mtakatifu. All ~s Day Sikukuu ya Watakatifu Wote. 3 mtu mwema sana. sainted adj -liotangazwa kuwa takatifu, -lioheshimiwa kama takatifu. ~ hood n utakatifu, usufii. ~ -like adj kama mtakatifu. saintliness n utakatifu. saintly adj -takatifu, kama takatifu. ~ Vitu's dance n kasoro katika neva.