sail
n 1 tanga. under ~ ikitumia matanga yote. set ~ anza safari. take in ~ punguza tanga, vyombo (jahazi mashua n.k.) vya matanga; (fig) punguza midadi/nguvu. 2 safari ya chombo cha matanga. ~ -arm n mkono (wa kinu cha upepo). ~ -boat n mashua ya matanga. ~ -cloth n marudufu. 3 meli. 4 safari ya burdani melini. 5 (of wind mill) mabawa/ mapanga (ya kinu cha upepo). vi,vt 1 endesha kwa tanga; endesha (merikebu, meli, chombo). 2 safiri (merikebuni, chomboni); pita baharini. ~ close to the wind enda joshi; (fig) karibia kuvunja/kupinda sheria; (start on a voyage) tweka, funga safari chomboni. 3 mudu kuendesha chombo chenye tanga. 4 paa/elea polepole angani. ~ing-master n nahodha. ~ing- ship n merikebu ya matanga. ~ing vessel n chombo cha matanga. ~ in anza, fanya jambo kwa bidii. ~ into somebody karipia, shambulia. sailer n chombo (mashua) cha matanga a fast ~er mashua iendayo kasi sana. sailor n 1 baharia; mwanamaji. 2 a good/bad ~or mtu asiye/anaye chafukwa na tumbo kiasi/sana awapo chomboni. ~or-suit n vazi la mtoto linalofanana na la mwanamaji.