saga

n (Norwegian) 1 ngano. 2 hadithi ndefu, au msururu wa vituko. 3 (colloq) maelezo marefu ya tukio fulani.