sadism

n 1 kupenda ukatili; unyama; utesaji. 2 kupata furaha/raha ya kimapenzi/kujamiiana kwa kufanya ukatili kwa mwenzio (wa jinsi nyingine). sadist n mtu katili; mpenda ukatili; mtesaji. sadistic adj -a ukatili; -penda ukatili; -tesaji.