saddle

n 1 tandiko (la farasi, punda, n.k.); shogi. be in the ~ wa juu ya farasi; (fig) wa madarakani. ~ -sore n jeraha la horji. ~ of mutton/venison n pande la nyama ya mgongo iliyoshikana na mbavu. 2 kiti (cha baiskeli, trekta n.k.). 3 safu au milima iliyoinuka mwanzoni na mwishoni. vt 1 weka tandiko (juu ya farasi). 2 ~ somebody with pa mtu jukumu kubwa; twisha mtu madaraka/mzigo n.k.. ~ bag n 1 shogi, horji. 2 mfuko wa vyombo vya kutengenezea baiskeli. saddler n fundi/mshonaji matandiko ya farasi/punda. n 1 vitu vilivyotengenezwa na mshonaji matandiko ya farasi; ushonaji wa matandiko ya farasi.