sacristan

n (RC Church) mtunzaji wa vifaa vya Kanisa. sacristy n (RC Church) sakristi: chumba cha kuvalia padre/kuhifadhia vyombo na nguo za kanisa.