sac

n 1 kifuko (cha maji au ute katika mwili wa mwanadamu/mnyama/ mmea). 2 uvimbe wa ngozi nyembamba (ya ndani ya mwili). saccate adj 1 -a kifuko, kama kifuko. 2 -a ndani ya kifuko.