sabbatarian

n 1 Msabato anayefuata sana sheria ya Jumamosi. 2 msabato; usabato. sabbath n 1 Sabato; siku ya saba ya juma (kuanzia Ijumaa jioni hadi Jumamosi jioni). break the sabbath vunja sabato keep the sabbath adhimisha sabato. sabbatical adj 1 -a sabato. 2 sabbatical leave (of University teacher) likizo ya kunoa ubongo.