rut
rut
1 n 1 alama za magurudumu ya magari (katika mchanga, tope, n.k.). 2 (fig) utaratibu wa kufanya jambo. be in/get into a ~ fuata utaratibu ule ule siku zote bila kubadili wala kufikiria mwingine. vt fanya mifuo njiani.rut
2 n nyege ya vipindi ya mnyama. vi -wa na nyege ya vipindi.