rush
rush
1 n tete. rushlight n mshumaa uliotengenezwa kwa utete. rushy adj -enye matete.rush
2 vi,vt 1 ~ (away/off/ out) timua; kurupuka; kurupua the workers ~ed out of the factory wafanyakazi walikurupuka kutoka kiwandani. ~ to conclusions amua bila kufikiria. ~ into print chapisha bila kujali usahihi/ukweli. ~ something through fanya jambo upesi sana. 2 shambulia, vamia ~ the bus vamia basi. 3 harakisha. ~ somebody off his feet harakisha; chosha. 4 ~ (for something) (sl) langua. n 1 mwendo wa kasi, kukurukakara, mkurupuko. 2 mahitaji makubwa ya ghafla a ~ for rain-coats mahitaji ya makoti ya mvua wakati wa mvua. the ~-hour n wakati wa msongamano wa kutoka na kwenda kazini agh. katika miji mikubwa. 3 (cinema, often pl) toleo la kwanza kabla ya kukaguliwa na kuhaririwa.