rummage

vt,vi 1 ~ (among, in, through) geuzageuza vitu wakati unatafuta kitu, pekua, chakura. 2 ~ through pekua/chakura sana, chunguza, kagua. ~ sale n see jumbo sale n 1 upekuzi mkali. 2 vitu vilivopatikana katika upekuzi. 3 vitu vikuukuu.