ruminant

adj 1 -a kucheua. 2 (of person) -liozama katika fikra, -liokaa na kushika tama. n mnyama anayecheua. ruminants wacheuzi. ruminate vt,vi 1 cheua; tafuna. 2 waza, tafakari. ~ over (a plan) fikiria jambo/azimio. rumination n.