rumble

vt,vi 1 nguruma; vuma, tutuma; rindima. ~ along enda kwa kunguruma. 2 ~ (out) sema kwa sauti nzito. n 1 ngurumo, uvumi, tutumo, tetemo, mdundo, rindimo. 2 (colloq US) mapambano ya vikundi vya wahuni mitaani.