ruin

n 1 maangamizi; uharibifu; utilifu the ~ of my hopes kuharibika kwa matumaini yangu. 2 (in sing. only) sababu ya kuharibika. 3 (of buildings) hali ya kuwa katika maanguko/ magofu/mahame/mabaki a ~ed house gofu la nyumba, hame 4 (business) kufilisika. vt vunja; angamiza; haribu; tilifisha. ruination n kuangamia, kuharibika; uangamiaji. ruinous adj 1 -enye kuharibu. 2 -liovunjika (na kuanguka). ruinously adv.