ruffle

1 vt,vi ~ (up) chafua, timua, vuruga ~ its feathers timua manyoya (kwa hasira au kutoa baridi). 2 kasirika; chafuka, timka easily ~d -a kukasirika, -a kuudhika upesi. n 1 vikunjo (vya nguo vya kuvaa shingoni; mwisho wa mikono ya vazi. 2 matatizo, shida. 3 kuchafuka, machafuko. ruffled adj.