ruff1 n 1 kikunjo shingo, kitambaa chenye vikunjo cha kuvaa shingoni; matimutimu. 2 pete ya manyoya ya rangirangi shingoni mwa ndege au mnyama. ruffed adj 1 -liokunjamana. 2 matimutimu.