rudiment

n 1 (beginning) mwanzo, asili, msingi, hatua za kwanza. 2 chipuko, chanzo. rudimental adj. rudimentary adj 1 -a mwanzo. 2 -sioendelezwa; katika hali isiyokamilika.