rubbish

n 1 taka, takataka; kitu cha kutupwa; kitu kisicho na faida/ thamani. 2 upuuzi; mawazo/fikra zisizokuwa na faida (as expression) mawe! ~-bin/can n pipa la taka a heap of ~ jalala, jaa; (of demolished house) kifusi. rubbishy adj.