rubber
rubber
1 n 1 mpira. ~ stamp n mhuri. ~- stamp (colloq) vt pitisha kitu/jambo bila kulizingatia. ~ neck n (US) (colloq) mtalii anayegeuka kila upande (ili ajaribu kuona kila kitu). vi talii. 2 kifutio, raba. 3 viatu vya mpira, raba. 4 mtu afutaye/kitu kitumiwacho kufuta (k.m. sehemu ya mashine). vt funga/funika kwa mpira. rubberize vt funga/funika kwa mpira. rubbery adj.rubber
2 n (in cards) 1 seti: michezo mitatu mfululizo ya karata. 2 mchezo wa tatu wa kutafuta mshindi.