royal

adj -a kifalme ~ charter idhini ya kifalme ~ prerogative haki za mfalme (kwa mujibu wa katiba); -zuri sana. ~ road to success njia rahisi/bora ya mafanikio have a ~ time starehe sana. n mmojawapo wa familia ya kifalme. royalist n mfuasi wa ufalme. royalty n 1 hadhi, cheo, mamlaka ya mfalme/jamaa wa mfalme. 2 watu wa jamaa/aila ya mfalme. 3 mrabaha: malipo ya mwandishi.