1n 1 makelele, ghasia, zahama. kick up/make a ~ anza ugomvi/ mabishano. 2 ugomvi. 3 matata; karipio. vt,vi 1 karipia, kemea. 2 ~ with gombana kwa makelele na mtu. rowdyn makelele, zahama, vurugu; mtu mwenye vurugu, mhuni. rowdilyadvrowdinessn. ~dismn.
row
2n safu; mstari; msafa be in ~s kuwa katika safu; (colloq) mfululizo two weeks in a ~ wiki mbili mfululizo. a hard ~ to hoe kazi ngumu sana; (of things piled up) rusu; (of fish on a string) mtungo, mtanda; (of plants) mpando.
row
3vt,vi piga (vuta) makasia. n kwenda katika mtumbwi. ~boat; ~ing boatn mtumbwi wa makasia; ngalawa. ~ing clubn klabu ya wapiga makasia. rowlockn kileti, kishwara. ~ ern mpiga kasia.