rough
adj 1 (of surfaces) -a kukwaruza, -a kuparuza; (of road) -enye mashimoshimo; (of sea) -liochafuka. 2 kali, -enye fujo. be ~ on somebody onea mtu, -wa mkali. give somebody the ~ side of one's tongue karipia mtu. give somebody/have a ~ time -pa/pata matatizo. ~ house n (colloq) ugomvi, zahama, ghasia. 3 ghafi, -siokamilika, -a kukadiria. ~ and ready adj -enye kufaa kutumia (lakini si makini sana). a ~ diamond n (fig) mtu wa thamani lakini asiyestaarabika. 4 (of sounds) nene na -enye kukwaruza. 5 (with compounds) rough-and-tumble adj -a mkikimkiki; -enye vurumai, ovyo na gomvi. ~-neck n (US colloq) mhuni, jambazi. rough-rider n mfunza farasi (ili akubali kupandwa). roughshod adj (of horses) -enye viatu vya njumu. ride ~shod over somebody puuza kabisa. ~spoken adj mwenye mdomo mchafu, mpujufu. roughly adv 1 kwa ukali, kwa kuparuza. 2 takribani, mnamo ~ ly speaking kwa kukisia. roughness n fujo, ghasia, ukatili; mparuzo, mkwaruzo. n 1 jambazi, mhuni. 2 hali ya kutokamilika in (the) ~ draft drafti ya awali. 3 hali ya kukwaruza/ kutokuwa sawa; kitu kibaya. take the ~ with the smooth (fig) kubali mabaya yanayoandamana na mema. 4 (golf) the ~ n sehemu ya majani marefu. vt,vi 1 ~ something (up) vurugavuruga, timua timua. 2 ~ somebody up (sl.) tikisatikisa; pigapiga; fanyia fujo, sumbua. ~ something in sawidi. 3 ~ it ishi maisha ya taabu/shida adv kwa ugomvi/ukali/ukatili play ~ cheza kwa rafu. cut up ~ (colloq) kasirika. live ~ ishi kwa kubabia, ishi maisha ya ovyo. sleep ~ lala majaani. roughen vt,vi -wa/fanya rafu/fujo/vurugu.