rotate

vt,vi 1 zunguka kitu; zungusha; fuatana kwa zamu. 2 badilisha ~ the crops badilisha mimea. rotative adj. rotatory adj. rotation n 1 mzunguko, mzingo. rotation of the earth mzunguko, mhimili (wa dunia). 2 in rotation kwa zamu.