rot
vt,vi 1 oza. 2 (of society, prisoners, etc) dhoofika, chakaa. 3 ozesha. rot-gut n gongo chafu lenye kudhuru tumbo.~ n 1 kioza; uoza/uozo. 2 (US the ~) ugonjwa wa ini wa kondoo. (foot ~) ugonjwa wa miguu wa kondoo. 3 (sl) (nonsense) upuuzi, mapiswa. 4 mfululizo wa kushindwa. rotten adj 1 bovu, viza; -liooza. ~ten eggs n mayai viza. 2 -siyopendeza, baya sana he is a ~ten singer ni mwimbaji mbaya sana.