roster

n rosta: orodha ya majina ya watu na kazi wapaswazo kufanya kwa zamu (pia rota). by ~ kwa zamu.