rope

n 1 kamba, ukamba, ugwe. the ~ kitanzi (agh. kunyonga mtu). the ~s n kamba za ulingo/jukwaa (la ndondi, n.k.). show somebody/ know/learn the ~s onyesha/jifunza namna ya kufanya jambo. give somebody (plenty of) ~ mpe uhuru wa kufanya jambo. give somebody enough ~ and he'll hang himself mwana akililia wembe mpe. 2 (with compounds) ~-dancer; ~walker n mchezaji juu ya kamba. ~-ladder n ngazi ya kamba. ~-walk/yard n sehemu ya ardhi inayotumika kusokota kamba. ropeway n reli ya kamba. rope-yarn n uzi wa kamba. 3 vitu kadhaa vilivyosokotwa pamoja. vt 1 funga kwa kamba. 2 ~ something off zungushia eneo kwa kamba. 3 ~ in shawishi mtu ajiunge.