root
root
1 n 1 mzizi. pull up one's ~s (fig) hama (ili kuanza maisha mapya mahali pengine). put down new ~s (fig) anza maisha mapya baada ya kuhama maskani ya zamani. take/ strike ~s (of plants) anza kuota mizizi, anza kukua; (fig) anza kustawi. ~ and branch (fig) kabisa. 2 ~s; ~ crop n mazao yawekayo chakula katika mizizi (k.v. karoti). 3 (of hair, tooth, nail) kizizi. 4 (fig) asili, chanzo, kiini. get at/to the ~ of something fikia/kabili kiini cha jambo. 5 (gram) mzizi: sehemu ya neno ambayo ndiyo kiini/kijenzi cha neno zima (k.m. pik- katika pik-a, pik-i-a, n.k). 6 kipeo (katika hesabu). vt,vi 1 (of plants etc) toa mizizi, anza, kukua. 2 weka/simama imara, kaza, pigwa bumbuwazi. 3 (of ideas, principles) kuwa na mawazo/misingi thabiti. 4 ~ something out; ~ something up ng'oa; ondoa kabisa (kitu kibaya); angamiza. rootless adj bila mizizi, -sio na mashiko/asili.root
2 vt,vi 1 ~ about (for) (of pigs etc) chimbua; (of persons) pekuapekua. ~ something out gundua/fuma kwa kutafuta. 2 ~ (for) (US sl) unga mkono, shangilia, shabikia. rooter n. rootle vi ~ about for (of pigs) chimbua chimbua.