room

n 1 chumba. roomed adj -enye vyumba a five ~ed house nyumba yenye vyumba vitano. 2 vyumba (vinavyokaliwa/tumiwa na mtu mmoja au familia moja). roommate n mkazi-mwenza (katika chumba/ nyumba). 3 ~ (for somebody (something); ~ (to do something) nafasi there is no ~ for doubt hapana shaka yoyote. 4 mwanya, nafasi (ya kufanya jambo) vi panga chumba/vyumba/nyumba. ~ing house n jengo lenye vyumba vingi vya kupanga (agh. wapangaji wakijihudumia wenyewe). roomer n (USA) mpangaji. roomful n watu, samani, n.k. inayoweza kujaza chumba. roomy adj -enye nafasi tele. -ily adv.