rook

rook

1 n ndege mkubwa mweusi kama kunguru. rookery n 1 makazi ya ndege huyo. 2 jamii ya penguini.

rook

2 n ayari, laghai. vt danganya, ghilibu, laghai (katika kamari).

rook

3 n ngome katika sataranji.