roof

n 1 paa: sehemu inayufanika juu (ya nyumba, basi, gari, treni, n.k.). raise the ~ (colloq) piga makelele (ndani ya nyumba). ~ garden n bustani juu ya jengo. ~ tree n mti wa ulalo unaounganisha/unaoshikilia paa. 2 kilele, sehemu ya juu kabisa. 3 kaakaa. vt tia paa, tia dari, (thatch) ezeka, vimba. roofing n (also ~ing material) vifaa vitumiwavyo kuezekea; maezeko, mavimbo. roofless adj sio na paa (of person) -siyekuwa na makazi/ nyumba.