romance

Romance

1 adj -a Kirumi ~ languages lugha za Kirumi (k.m Kifaransa, Kitaliana, Kireno, Kihispania) n lugha za Kirumi.

romance

2 n 1 (love story) hadithi ya mahaba (hasa dhanifu); fasihi ya mahaba. 2 mapenzi. 3 hali ya kuvutia/kuvutiwa na hadithi na vitendo/vituko vya mapenzi. 4 uzushi, maelezo yaliyotiwa chumvi. vi (usually romanticize) piga chuku katika kuhadithia. romantic adj 1 (of persons) -enye mawazo/hisia/njozi za mapenzi; -enye kupenda mambo yaliyotiwa chumvi/ya ajabu. 2 -enye hali ya ajabu/mahaba. 3 -enye kubuni ya usoni. 4 (lit,etc.) -enye kusisitiza hisia kuliko mantiki/akili. n 1 mpenda mahaba. 2 mpendelea hisia na ubunifu. 3 mpiga chuku; mwota njozi. romantically adv. romanticism n tapo la sanaa linalosisitiza ubunifu na hisia. romanticist n mfuasi,mshiriki wa mwelekeo huo. ~ r n 1 mwandishi wa hadithi za mahaba. 2 kidhabi.