roly-poly

n 1 (also ~ pudding) pudini yenye utando wa unga wa jamu iliyotengenezewa katika umbo la mcheduara na kuchemshwa. 2 (colloq) mtoto mfupi na mnene.