rogue

n 1 ayari, laghai, mjanja. 2 jambazi, jangili, mhuni. ~'s gallery n mkusanyiko wa picha za majambazi sugu/wahuni/wahalifu, n.k. 3 (mischievous child) mtundu. 4 mshari ~ elephant tembo mshari. roguery n 1 ujanja, hila, ulaghai. 2 (fun) mizaha, utundu, ucheshi. roguish adj 1 -a kilaghai, -a kihuni. 2 -a kitundu, -a kidhihaka.