1n 1 mwamba, jabali. as firm/ solid as a ~ isiotingishika, imara kabisa; (of persons) (fig) thabiti. on the ~s(of a ship) -liovunjika juu ya miamba; (fig) -liowamba; (of a marriage) -nayoelekea kuvunjika; (US) (of whisky) kwa barafu. see ~s ahead ona miamba/hatari mbele. the R~ of Ages Yesu. 2 jabali kubwa lijitokezalo juu ya ardhi au majini; (of a person) mtu aliyewamba. 3 genge la mwambajiwe, jiwe kubwa. 4 peremende ngumu. 5 (used with compounds)~ bottomn kiwango cha chini kabisa. ~ climbingn upandaji miamba (kwa msaada wa vifaa fulanifulani k.v. kamba). ~-crystaln kwazi ya fuwele: namna ya jiwe gumu, jeupe la kung'aa. ~gardenn tita kubwa la majabali na mawe na juu yake kukiwa kumeota mimea. ~ plantn aina ya mmea unaoota katika sehemu za majabali au mawe. ~ salmonnseedogfish. ~ saltn chumvi ya mawe. rockerynsee~ garden. rockyadj 1 -enye miamba. 2 -sio imara.
rock
2vt,vi 1 (swing) pembeza; pembea, chuchia. 2 (shake) tikisa, tingisha ~ the boat (fig) yumbisha/vuruga, jambo. ~ing-chairn kiti cha bembea. ~ing-horsen bembeafarasi: farasi bandia wa mbao wa kupandwa na watoto. rockern mguu tao (wa kiti cha bembea au farasi bandia). off one's ~ -enye wazimu.
rock
3also~'n-rolln roki: aina ya dansi la kurukaruka. vi cheza roki.