robot

n roboti: mashine ifanyayo kazi kama mtu/badala ya mtu; (fig) mtu afanyaye kazi kama mashine/bila kufikiri au kuuliza, n.k.