roast

vt,vi 1 choma, banika, oka. 2 pasha joto/moto. 3 weka katika hali ya joto ya namna fulani ~ oneself in the sun jianika juani. 4 kemea sana. n 1 nyama iliyobanikwa/okwa; vipande vidogovidogo vilivyokatwa kutoka pande hili. 2 ubanikaji au uchomaji (nyama). roaster n aina ya jiko la kubanikia nyama; chombo cha kuchomea kahawa/buni; aina ya chakula (k.m kuku) kinachoweza kubanikwa au kuchomwa. roasted adj -liyochomwa; -liobanikwa. roasting n. give somebody a good ~ing (fig) karipia/kemea vikali.