roar

n 1 ngurumo, rindimo. vt,vi nguruma, rindima. 2 sema/imba kwa sauti kubwa. 3 ~ oneself hoarse pwelewa/kaukiwa na sauti (kwa kuimba au kutoa sauti kubwa/kali). ~ somebody down zima. roaring adj 1 -a kunguruma, -a kurindima. 2 -a dhoruba. 3 -enye kustawi adv sana. roaringly adv.