road

n 1 barabara; njia. on the ~ safarini, njiani. take to the ~ -wa mzururaji. rule of the ~ sheria/ kanuni za kupishana magari/meli, n.k. ~ safety n usalama barabarani. 2 (compounds) ~ bed n jumla ya vifaa k.v. mawe, kokoto, kifusi n.k. vinavyotandazwa katika ujenzi wa barabara. ~-block n kizuizi barabarani. ~ book n kielelezo cha barabara za mji/nchi. ~-hog n (colloq) dereva jahili/mbaya. roadhouse n mgahawa wa barabarani, hoteli iliyopo kando ya baraba kuu. ~ man/ mender n mtengeneza barabara. ~ metal n kokoto za kutengenezea njia/ barabara. ~ -sense n akili ya udereva. ~ show n maonyesho (yaonyeshwayo na kikundi cha sanaa kinachozunguka sehemu mbalimbali) ~ side n pembeni mwa barabara, kando ya barabara. roadstead n bandari, maelezi, pa kutia nanga. roadway n (sehemu ya) barabara (yanapopita magari); sehemu ya kati ya barabara. 3 njia (apitapo mtu). 4 ~ (to) (fig) njia (ya kuelekea); namna the ~ to success njia ya kufanikiwa. roadster n gari ndogo iliyo wazi (agh ya watu wawili).