river

n 1 mto. sell somebody down the ~ (fig) saliti mtu. 2 ~ head chanzo; chemchemi. ~-bed n chini ya mto. ~ basin n bonde la mto. ~ bank n ukingo wa mto. ~ side n kando ya mto. ~ horse n kiboko. 3 gharika, mafuriko makubwa (k.m. ya lava ya volkeno); kububujika kwa wingi (k.m. damu), umwagaji mwingi wa damu katika vita. river-borne adj (of trees) -a mto. rivulet n kijito.