risk

n 1 hatari, mashaka. run/take ~s/ a ~ fanya mambo ya hatari; bahatisha; thubutu to succeed you must take ~s ili ufanikiwe sharti uthubutu. run/take the ~ of doing something -wa na dhima, chukua jukumu. at ~ -enye mashaka. at the owner's ~ juu ya mtu mwenye mali. one's own ~ juu yake mwenyewe. 2 (insurance) kiasi/thamani ya bima; kiasi ambacho mtu/kitu kimelipiwa bima; mtu au kitu kilicholipiwa bima. vt hatarisha, bahatisha, jasiri I will ~ it hasara juu yangu. risky adj -enye hatari. riskiness n hatari, jukumu. riskily adv.