rise
vi ~ (up) 1 (of the sun, moon) chomoza, tokeza 2 inuka. 3 amka, toka kitandani. 4 (from the dead) fufuka. 5 panda, inukia, enda juu. the rising generation n kizazi kinachoinukia. rising twelve (of a person's age) karibia miaka kumi na miwili. high ~ adj -enye maghorofa. 6 ongezeka (nguvu). 7 ibuka. 8 onekana juu ya uso wa nchi kwa mbali (k.m. vilima); tokeza. 9 panda cheo/hadhi n.k. 10 ~ to weza kukabili. ~ to the occasion weza kukabili hali. 11 (of slope) panda. 12 anzia. 13 ~ against asi. rising n maasi. ~ n 1 mwinuko, kilima, kituta. 2 ongezeko (k.m. katika thamani, ukubwa, joto, n.k.). 3 (lit) kuchomoza, kutokeza (agh. kwa jua). 4 kuibuka kwa samaki, kuja juu ya maji. get/take a ~ out of somebody ginginiza/chokoza/fanyia mzaha hadi kumuudhi. 5 mwanzo, asili. give ~ sababisha, -wa chanzo. riser n 1 mwamkaji. an early ~r n mwamkaji mapema. 2 sehemu ya wima ya ngazi (inayounganisha vidatu viwili).