rip

vt 1 pasua; pasuka; raruka; tatuka ~ open pasua. ~ something/ somebody off iba; ibia, ghilibu, tapeli. ripoff n utapeli, wizi. ~-cord n ugwe wa mwavuli wa kurukia (ambao ukivutwa mwavuli hufyatuka na kujaa hewa). 2 kata kwa msumeno (mti, n.k.) kwa kufuata uelekeo wa nyama zake. ~ saw n msumeno wa kufanyia kazi hii. 3 (of material) chana/chanika. 4 endesha upesi; enda kwa kasi. let things ~ acha kuvidhibiti; acha mambo yaende kwa namna yake. n mpasuko mrefu; mahali palipopasuka. rip-roaring adj -a makelele, -a ghasia, -a vurumai.