1n 1 pete nose-~ hazama ear-~ hereni, kipuli lip-~ ndonya. ~ fingern kidole cha pete. 2 kizingo, kipete, kishikizo key ~ kishikizo cha funguo ~ mail, ~ armour ngao ya pete, deraya. 3 duara. run/ make ~s roundsomebody zidi sana kwa kasi, ubora wa kufanya mambo. 4 jamii, kundi, genge la watu wafanyao kazi kwa pamoja kwa manufaa yao a ~ of thieves genge la wezi. 5 ulingo boxing ~ ulingo wa masumbwi. ~ mastern kiongozi wa kikundi cha wachezaji (hasa wa sarakasi). 6 uwanja (wa maonyesho ya mifugo). 7 (compounds)~ roadn barabara (inayozunguka nje ya mji). ~-siden kando ya ulingo. ringwormn choa, baka, bato. ~-leadern kiongozi wa waasi/maasi/jambo baya. vt,vi 1 zingira. 2 visha pete. 3 tupa shilingi. 4 (of a hunted fox) kimbia kwa kuzunguka. ringletn 1 msokoto, songo la nywele. 2 pete ndogo. ringedadj.
ring
2vt,vi 1 vuma; lia the telephone rang simu ililia. 2 ashiria, leta athari fulani baada ya kusikika, onyesha dalili. ~ true ashiria ukweli. 3 piga kengele ya tahadhari. ~ (for) ita kwa kengele. 4 piga/liza (kengele) ~ the alarm piga kamsa. ~ the bell(colloq) faulu katika jambo. ~ a bell leta kumbukumbu kwa mbali. 5 vuvumka, jaa. 6 baki (katika masikio/ kumbukumbu). 7 ~ (with)(of the ears) wangwa ears are ~ing masikio yanawangwa. 8 ~ somebody (up) pigia simu, wasiliana kwa simu. ~ off maliza mazungumzo ya simu, kata simu. 9 (of a chime of bells) tangaza (saa, kipindi, n.k). 10 toa ishara (kwa kupiga kengele, n.k. 11 ~ the changes(of church bells) piga kengele kwa namna mbalimbali; (fig) fanya/weka au panga vitu kwa namna mbalimbali. 12 tangaza au sherehekea kuanza au kwisha kwa jambo fulani (kwa kupiga kengele). n 1 sauti au mlio wa kengele (au chuma) ipigwapo. 2 (sing only) sauti kubwa na yenye kusikika. 3 kitendo cha kutoa sauti kama kengele. ringern mpiga simu/kengele; ala ya kupigia kengele.