right

right

1 adj (contrasted with wrong) 1 (of conduct, etc) nyofu, adilifu, -ema. 2 -a kweli, sawa, halisi, sahihi. get something ~ elewa sawasawa. put/set something ~ rekebisha, sahihisha. R~ you are!/R~o! R~! interj (colloq) sawa!/ kabisa! All right/Alright interj. vema! vizuri sawa! ~ minded adj -enye mawazo mazuri/misingi mizuri, -enye akili timamu. 3 -a kufaa, -enye afadhali, -a heri he is the ~ man for the job anafaa kwa kazi hii she is on the ~ side of 40 hajafika miaka arobaini. get on the ~ side of fanya kupendwa/kupendelewa na. 4 (all) ~ zima. not (quite) ~ in the/ one's head -enye wazimu (kidogo), haziko sawa. not in one's ~ mind haziko sawa. ~ as rain/as a trivet (colloq) mzima, safi kabisa. 5 (of an angle) -a pembe mraba. rightly adv kwa kweli/ haki, kwa usawa, inavyotakiwa. rightness. n, adv 1 hasa; moja kwa moja. ~ away/off mara moja; moja kwa moja. ~ now kwa sasa; sasa hivi. ~ on! int (colloq) sawa! hasa! 2 kwa usahihi if I remember ~ kama nakumbuka vizuri. it serves him ~ ni haki yake; inamstahilia. 3 sana; kabisa. right-down adj, adv (more usu down ~) kabisa. n 1 haki, ukweli. be in the ~ -wa mkweli na mwenye haki. 2 haki she has no ~ hana haki. by ~ of kwa sababu ya, kutokana na. in one's own ~ kwa haki/uwezo wake mwenyewe. ~ of way n haki ya kutumia njia (ya jumuia/umma) (in road traffic) haki ya kupita barabarani. by ~ (s) kwa kufuata haki. human ~s n haki za binadamu. women's ~s n haki za wanawake. stand on/assert one's ~s tetea haki. 3 (pl.) hali halisi. put/set things ~ rekebisha, nyoosha. ~s and wrongs ukweli. vt tengeneza/ sahihisha/rekebisha kuwa sawa; simamisha (wima) that fault will ~ itself tatizo hili litajirekebisha lenyewe. ~ the helm (of ship) weka katikati; elekeza mbele. righteous adj 1 adilifu, -a kutii amri. 2 -enye kukubalika kimaadili, -enye haki. ~ously adv. ~ousness n.

right

2 adj (contrasted with left) -a kulia; -a kuume. one's ~ hand/arm (fig) msaidizi mkuu, mwenzi. ~ hand adj -a bidii/nguvu zote put one's ~ hand to the work fanya kazi kwa bidii/nguvu zote. right-handed adj (of a blow, etc) -a kulia. ~ hander n anayetumia mkono wa kulia/kuume; (of a blow, etc) -a kulia; kofi la mkono wa kulia. ~ turn geuka kulia. ~ about turn/face geuka nyuma kwa kupitia mkono wa kulia adv kwa upande wa kulia. (mil) Eyes ~! macho kulia!. n 1 (upande wa) kulia, kuume. 2 (politics, usu the ~) mrengo wa kulia: chama/vyama visivyopenda mabadiliko/ vinavyopinga mabadiliko. rightist n mwanachama wa chama cha mrengo wa kulia adj -a mrengo wa kulia.