rig

rig

1 vt fanya hila ~ an election pata ushindi katika uchaguzi kwa hila ~ the market fanya hila katika ununuzi/uuzaji wa hisa (ili kupata faida isiyo halali).

rig

2 vt,vi 1 ~ (with) (a ship) weka/patia (meli) mlingoti/tanga; -wa na vifaa hivyo; -andaa kwenda baharini na vifaa hivyo. 2 ~ somebody out/in with something -pa mtu nguo/vifaa vinavyotakiwa; (colloq) nguo, mavazi (ya mtu). ~ something up unganisha, rekebisha kitu; tengeneza. n 1 (of a ship) mpangilio wa mlingoti, tanga, n.k. 2 mtambo, vifaa vilivyowekwa pamoja kwa madhumuni maalumu. test-~ n mahali/mtambo wa kujaribia magari. 3 (colloq) mtindo wa mavazi; namna mtu aonekanavyo kutokana na mavazi yake. rigging n kamba za melini zinazoshikilia tanga na mlingoti. rigger n mfunga kamba melini; mwunda ndege.