rifle
rifle
1 vt chakura, pekua (ili kuiba).rifle
2 n bunduki; bunduki kubwa yenye mifuo; (pl.) kikosi cha askari wa bunduki. rifle-range n uwanja wa kujifunzia shabaha; mtupo wa risasi. rifle-shot n mtupo wa risasi; mpiga bunduki mwenye shabaha. ~ man n askari wa kikosi cha bunduki.