ridge

n 1 mgongo, kigongo, utiko. ~ pole n mtambaapanya wa hema. ~ tile n kigae cha mgongo wa paa la nyumba. 2 (of hills) mgongo wa safu vilima/milima/sehemu ndefu iliyoinuka. 3 mstari wa sehemu iliyoinuka inayotenganisha mito. 4 (of farming) tuta.