ride
n (of a car, bicycle, horseback) 1 kupanda; usafiri (wa kupanda) ~ a child on one's shoulders beba mtoto mabegani. take somebody for a ~ (colloq) danganya/laghai mtu. 2 njia ya farasi na watu (hasa ipitayo katika pori). vi,vi 1 panda/ enda/chukuliwa kwa (farasi, baiskeli, n.k.), endesha. ~ for a fall endesha kwa fujo; (fig) omba maafa, fanya vitendo vinavyoweza kusababisha maafa au kushindwa. 2 shindana katika mbio za farasi/baiskeli. 3 ~ on panda, kaa kwa kutagaa/kutenganisha miguu kama mpanda farasi. 4 beba mtu mabegani (kwa kuning'iniza miguu yake shingoni). 5 (of a jockey or other person) -wa na uzito (fulani wakati wa kupanda farasi). 6 fanya matembezi/mazoezi kwa farasi. ~ to hounds enda kuwinda mbweha. 7 (of ground, etc) -wa katika hali fulani ya kuendesha farasi the ground rode hard after the frost uwanja ulikuwa mgumu baada ya jalidi. 8 elea baharini. ~ out a storm (of a ship) toka salama/okoka katika dhoruba. (fig) salimika, okoka kutoka kwenye matatizo, shambulio, n.k. let it ~ (colloq) acha jambo liende bila kulijali/kulishughulikia; acha mambo yalivyo. 9 ~ somebody down fukuza mtu kwa farasi hadi kumfikia; angusha kwa farasi. 10 ~ up (of an article of clothing) ruka. rideable adj. ridden (pp of ride) (esp. in compounds) 1 -liojawa na ridden by fears jawa na hofu. 2 - liotawaliwa/sumbuliwa/ nyanyaswa na priest ridden wanaonyanyaswa na mapadri police ridden wanaonyanyaswa na polisi. riding-breeches n pl suruali za mpanda farasi. riding-habit n vazi la kike la kupandia farasi. riding-light/lamp n taa ya meli inapotia nanga. riding master n mwalimu wa wapandafarasi.