riddle

riddle

1 n 1 kitendawili; fumbo. 2 mtu/ kitu/jambo/hali ya kushangaza/ kutatanisha.

riddle

2 n (sieve) chekecheke, chungio, kung'uto. vt 1 chekecha, chunga; kung'uta. 2 ~ (with) toboa (k.m. kwa kupiga risasi); chomachoma ~ with bullets toboa kwa risasi. be ~d with jawa na.