rhythm

n 1 wizani; mfuatano wiano wa mkazo mkali na hafifu wa lafudhi, sauti; mahadhi n.k. (katika usemaji, muziki, dansi, n.k.). 2 mifuatano maalumu ya namna hiyo. rhythmical adj -enye mahadhi (mapigo, mdundo, mwendo) safi.